Kutembea kwa uthabiti … katika unyofu !

March 2025 - April 2025

Katika miezi hii  inayodhihirishwa na Kwaresima na sherehe za pasaka, Petro Vigne anatuachia kama programu inayoweza kututia changamoto na kutualika kufanya maamuzi fulani yanayofaa  kwa ajili ya  maisha yetu ya kikristo. Uthabiti, furaha kujitolea, utume. Kwaresima njema kuelekea  Pasaka

Parole 03-04- 2025_1° en swahili