Ni kawaida kwamba namba hii itiwe alama na kifo cha PAPA wetu FRANSISKO na ambaye kupitia maandishi yake mwenyewe tunaweza kuonesha ASANTE yetu kwa miaka 12 na siku 39 iliyotolewa kwa huduma ya Kanisa Tutaendelea kuwasilisha ujumbe wako uliotufikishia kupitia matendo na mitazamo yako, bila shaka… bila kusahau yale uliyotuachia kupitia ensiklika zako
Katika miezi hii inayodhihirishwa na Kwaresima na sherehe za pasaka, Petro Vigne anatuachia kama programu inayoweza kututia changamoto na kutualika kufanya maamuzi fulani yanayofaa kwa ajili ya maisha yetu ya kikristo. Uthabiti, furaha kujitolea, utume. Kwaresima njema kuelekea Pasaka
During these months, which include Lent and Easter, Peter Vigne provides us with a challenging programme inviting us to make certain practical decisions for our Christian life. Firmness, joy, commitment, mission. God bless us on our Lenten Journey.
We enter a New Year, a clean page in our book of time ! … What challenges will we face and how will we respond ? Peter Vigne reminds us of the precious “gift” that is given to us : the gift of one day at a time! A gift that will be multiplied by 365, throughout the Jubilee Year 2025. Happy New Year 2025 PEACE, good HEALTH and HOPE ! What values will guide our decisions and our actions?...