Kuzidisha matumaini ... FURAHA na Papa wetu Leo XIV

12 Jul 2025

TZ_PPVA_07-08- 2025_swahili         Ni kawaida kwamba namba hii  itiwe alama na kifo  cha  PAPA wetu FRANSISKO na ambaye kupitia maandishi yake mwenyewe tunaweza kuonesha  ASANTE yetu kwa miaka 12 na siku 39 iliyotolewa kwa huduma ya Kanisa   Tutaendelea kuwasilisha ujumbe wako uliotufikishia kupitia matendo na mitazamo yako, bila shaka… bila kusahau yale uliyotuachia kupitia ensiklika zako